[Members] Kukamilika kwa mailinglist
Noah
noah at neo.co.tz
Sat Jun 25 11:43:11 EAT 2022
Kaka Simon
Tunashukuru sana kwa jitihada ... Kazi Iendelee
Cheers,
*./noah*
neo - network engineering and operations
On Sat, Jun 25, 2022 at 11:40 AM Simon Balthazar <msafiri23 at gmail.com>
wrote:
> Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi,
>
> Napenda kukujulisha kuwa mailinglist ya isoc imerudi hewani. Naomba
> tuendelee na taratibu nyingine za uchaguzi.
>
> ./simon
>
-------------- next part --------------
An HTML attachment was scrubbed...
URL: <http://mail.aftld.org/pipermail/members/attachments/20220625/c0dd909c/attachment.html>
More information about the Members
mailing list