[Members] Kukamilika kwa mailinglist

Simon Balthazar msafiri23 at gmail.com
Sat Jun 25 11:39:52 EAT 2022


Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi,

Napenda kukujulisha kuwa mailinglist ya isoc imerudi hewani. Naomba
tuendelee na taratibu nyingine za uchaguzi.

./simon
-------------- next part --------------
An HTML attachment was scrubbed...
URL: <http://mail.aftld.org/pipermail/members/attachments/20220625/179407e9/attachment.html>


More information about the Members mailing list